Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, hii leo anazuru kisiwa cha Lesbos kuonyesha kuwaunga mkono wakimbizi wanaojaribu kufika barani Ulaya.
Papa Francis atasafiri ataandamana na kiongozi wa kanisa la othodox Bartholomeo Constantinople.
Wawili hao watatembelea kambi iliyo kisiwani humo, ambapo wahamiaji zaidi ya 2000 wanazuiliwa, wakisubiri kusafirishwa kwenda Uturuki chini ya makubaliano ya muungano wa ulaya.
Makubaliano hayo yamekosolewa na mashirika ya kutoa misaada na makundi ya kutetea haki za binadamu
;
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
KAMA HUJAONAILE VIDEO CHAFU YA ZARI THE BOSS LADY ILIYOVUJA BOFYA HAPO CHINI=>


Chapisha Maoni